Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

MAAFISA BAJETI WA OFISI YA RAIS-UTUMISHI WAPATIWA MAFUNZO YA MPANGO NA BAJETI ILI KUBORESHA UTENDAJI KAZI


Mkurugenzi wa Idara ya Mipango, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Cosmas Ngangaji (aliyesimama) akifafanua jambo wakati akiwasilisha mada kuhusu namna ya kuandaa mpango na bajeti wakati wa kikao kazi cha kuwajengea uwezo Maafisa Bajeti wa Ofisi hiyo kilichofanyika mkoani Manyara.