Habari
MAAFISA BAJETI WA OFISI YA RAIS-UTUMISHI WAPATIWA MAFUNZO YA MPANGO NA BAJETI ILI KUBORESHA UTENDAJI KAZI

Maafisa Bajeti wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Ufuatiliaji na Tathmini Idara ya Mipango, Bw. Patrick Allute wakati wa Mafunzo ya Maandalizi ya Mpango na Bajeti kwa maafisa hao.