Habari
KONGAMANO LA KWANZA LA UFUATILIAJI NA TATHMINI NCHINI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akitoa maelezo kuhusu Kongamano la kwanza la ufuatiliaji na tathmini nchini kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (hayupo pichani) kabla ya Mheshimiwa Waziri Mkuu kufungua Kongamano hilo katika ukumbi wa PSSSF (Makole) jijini Dodoma