Habari
KATIBU MKUU - UTUMISHI, BW. MKOMI ATAKA MALALAMIKO NA MAONI YA WANANCHI KUJIBIWA KWA WAKATI KUPITIA MIFUMO YA KIDIGITALI

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Juma Mkomi akiwa katika kikao kazi cha kujadili matumizi na uendeshaji wa mifumo ya kidigitali kabla ya kufungua rasmi kikao kazi hicho kilichofanyika jijini Dodoma.