Habari
KATIBU MKUU - UTUMISHI, BW. MKOMI ATAKA MALALAMIKO NA MAONI YA WANANCHI KUJIBIWA KWA WAKATI KUPITIA MIFUMO YA KIDIGITALI

Mkurugenzi wa Usimamizi wa Maadili, Bi. Leila Mavika, akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Juma Mkomi kufungua kikao kazi cha kujadili matumizi na uendeshaji wa mifumo ya kidigitali kilichofanyika jijini Dodoma.