Habari
KATIBU MKUU-UTUMISHI BW. JUMA MKOMI AKUTANA NA MAKAMISHNA WA TUME YA UTUMISHI WA UMMA KWA MAZUNGUMZO
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bw. Juma Mkomi akutana na kufanya mazungumzo na Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma kuhusu Usimamizi wa Rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma Ofisini kwake Mtumba, jijini Dodoma, tarehe 16 aprili, 2026.
