Habari
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Juma Mkomi akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wake Bw. Xavier Daudi wakati wakimsubiri Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa kukagua jengo la Ofisi ya Rais-UTUMISHI katika Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma