Habari
KARIBU TUKUHUDUMIE: Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2025

Wananchi mbalimbali wakipatiwa taarifa za Kiutumishi kutoka kwa Maafisa wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2025 yanayofanyika katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid Karume jijini Arusha.