Habari
KAMATI ZA NIDHAMU ZATAKIWA KUHITIMISHA KWA WAKATI MASHAURI YA KINIDHAMU YA WATUMISHI ILI KUIPUNGUZIA GHARAMA SERIKALI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Watumishi wa Halmashauri za Wilaya ya Arusha na Meru wakati wa ziara yake ya kikazi wilayani Arumeru iliyolenga kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi hao.