Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

KAMATI ZA NIDHAMU ZATAKIWA KUHITIMISHA KWA WAKATI MASHAURI YA KINIDHAMU YA WATUMISHI ILI KUIPUNGUZIA GHARAMA SERIKALI


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akiteta na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. John Mongella wakati wa ziara ya kikazi ya Mhe. Jenista wilayani Arumeru iliyolenga kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi wa wilaya hiyo.