Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

KAMATI YA USEMI YAPOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO YA OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA


Sehemu ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama wakati akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo ya ofisi yake ya kipindi cha nusu mwaka cha kuanzia mwezi Julai hadi Disemba, 2022.