Habari
KAMATI YA USEMI YAIPONGEZA SERIKALI KUFADHILI MASOMO YA ELIMU YA JUU KWA VIJANA WANAOTOKA FAMILIA MASKINI ZA WALENGWA WA TASAF

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalumu anayewakilisha Vyuo Vikuu, Mhe. Dkt. Tea Ntala akichangia hoja wakati wa kikao cha kamati hiyo jijini Dodoma kilicholenga kupokea taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kwa mwaka wa fedha 2021/2022.