Habari
KAMATI YA USEMI YAIPONGEZA SERIKALI KUFADHILI MASOMO YA ELIMU YA JUU KWA VIJANA WANAOTOKA FAMILIA MASKINI ZA WALENGWA WA TASAF

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Abdallah Chaurembo akiongoza kikao kazi cha kamati yake jijini Dodoma kilicholenga kupokea taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kwa mwaka wa fedha 2021/2022.