Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

KAMATI YA USEMI YAIPONGEZA eGA KUANZA MABORESHO YA MFUMO WA USIMAMIZI NA UENDESHAJI WA SHUGHULI ZA AFYA (GoTHOMIS) UTAOBORESHA UKUSANYAJI WA MAPATO YA SERIKALI


Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA), Mhandisi Benedict Ndomba akiwasilisha mada ya usalama wa serikali mtandao kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, mara baada ya kamati hiyo kupatiwa mafunzo kuhusu usalama wa serikali mtandao.