Habari
KAMATI YA USEMI YAIPONGEZA eGA KUANZA MABORESHO YA MFUMO WA USIMAMIZI NA UENDESHAJI WA SHUGHULI ZA AFYA (GoTHOMIS) UTAOBORESHA UKUSANYAJI WA MAPATO YA SERIKALI

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA), Mhandisi Benedict Ndomba akitoa ufafanuzi wa hoja za masuala ya serikali mtandao zilizowasiloishwa wa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, mara baada ya kamati hiyo kupatiwa mafunzo kuhusu usalama wa serikali mtandao.