Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

KAMATI YA USEMI YAIPONGEZA eGA KUANZA MABORESHO YA MFUMO WA USIMAMIZI NA UENDESHAJI WA SHUGHULI ZA AFYA (GoTHOMIS) UTAOBORESHA UKUSANYAJI WA MAPATO YA SERIKALI


Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Hai, Mhe. Saashisha Mafuwe akichangia hoja kuhusu serikali mtandao, mara baada ya kupatiwa mafunzo ya usalama wa serikali mtandao yaliyotolewa na Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA).