Habari
KAMATI YA USEMI YAIPONGEZA eGA KUANZA MABORESHO YA MFUMO WA USIMAMIZI NA UENDESHAJI WA SHUGHULI ZA AFYA (GoTHOMIS) UTAOBORESHA UKUSANYAJI WA MAPATO YA SERIKALI

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Abdallah Chaurembo akipongeza utendaji kazi wa Mamlaka ya Serikali mtandao (eGA) mara baada ya kamati yake kupatiwa mafunzo kuhusu usalama wa serikali mtandao yaliyolenga kutoa elimu hiyo kwa wajumbe wa kamati hiyo.