Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA YAPOKEA TAARIFA YA MUUNDO, MGAWANYO WA MAJUKUMU, SHERIA NA SERA ZINAZOSIMAMIWA NA OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA TAASISI ZAKE


Viongozi wa Watendaji wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya ofisi hiyo wakiwa kwenye kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kilicholenga kupokea taarifa ya Muundo, Mgawanyo wa Majukumu, Sheria na Sera zinazosimamiwa na ofisi hiyo jijini Dodoma.