Habari
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA YAPEWA MAFUNZO
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Regina Qwaray akifafanua jambo wakati Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ilipokuwa ikitoa mafunzo kuhusu Usimamizi wa Maadili ya Viongozi wa Umma kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, tarehe 11 Februari, 2026.
