Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

KAMATI YA BUNGE YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA YAPOKEA NA KUJADILI TAARIFA YA OFISI YA RAIS-UTUMISHI KUHUSU UTEKELEZAJI WA MAAZIMIO YA MKUTANO WA BUNGE


Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete (kushoto) akiteta jambo na Kaimu Katibu Mkuu, Bw. Xavier Daudi wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kuhusu utekelezaji wa maazimio ya Bunge kilichofanyika jijini Dodoma tarehe 16 Januari, 2023