Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

KAMATI YA BUNGE YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA YAJADILI TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MAAZIMIO YA MKUTANO WA BUNGE


Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Joseph Mhagama akiongoza kikao cha kamati hiyo na Viongozi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Watendaji wa Wakala ya Ndege za Serikali, Mamlaka ya Serikali Mtandao na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kilichofanyika katika ofisi za Bunge jijini Dodoma tarehe 16 Januari, 2023.