Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

KAMATI YA BUNGE YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA IMEJIPANGA KIKAMILIFU KUISIMAMIA OFISI YA RAIS-UTUMISHI KUFIKIA MALENGO


Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete na Naibu Katibu Mkuu wa ofisi yake Bw. Xavier Daudi wakipokea hoja za wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Katiba na Sheria wakati wa kikao kazi cha kamati hiyo na watendaji wa ofisi yake.