Habari
KAMATI YA BUNGE YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA IMEJIPANGA KIKAMILIFU KUISIMAMIA OFISI YA RAIS-UTUMISHI KUFIKIA MALENGO

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi akiwaongoza watendaji wa taasisi zilizo chini ya Ofisi ya Rais-UTUMISHI kujibu hoja za wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakati wa kikao kazi cha kamati hiyo na watendaji wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na taasisi zake.