Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

KAMATI YA BUNGE YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA IMEJIPANGA KIKAMILIFU KUISIMAMIA OFISI YA RAIS-UTUMISHI KUFIKIA MALENGO


Mhe. Yahaya Massare (aliyeinua mkono) akiwasilisha hoja wakati wa kikao kazi cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria na viongozi pamoja na watendaji wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, kilicholenga kuiwezesha kamati hiyo kupokea wasilisho la muundo na majukumu ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na taasisi zake.