Habari
JADILINI MWONGOZO WA MPANGO WA TAIFA WA RASILIMALIWATU KWA KUTAZAMA MAENDELEO YA TAIFA KATIKA MIAKA 20 HADI 30 IJAYO-BW. DAUDI

Wadau kutoka katika taasisi mbalimbali za umma wakimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Xavier Daudi (hayupo pichani) wakati akizungumza nao kabla ya kufungua kikao kazi cha wadau hao kilichofanyika jijini Dodoma kwa lengo la kuboresha Rasimu ya Mwongozo wa Mpango wa Taifa wa Rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma.