Habari
JADILINI MWONGOZO WA MPANGO WA TAIFA WA RASILIMALIWATU KWA KUTAZAMA MAENDELEO YA TAIFA KATIKA MIAKA 20 HADI 30 IJAYO

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Dkt. Edith Rwiza akiwasilisha mada kuhusu maboresho ya Rasimu ya Mwongozo wa Mpango wa Taifa wa Rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma, mara baada ya Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Xavier Daudi kufungua kikao kazi cha wadau kilichofanyika jijini Dodoma kwa lengo la kuboresha rasimu hiyo.