Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

IDARA YA KUMBUKUMBU NA NYARAKA YAPONGEZWA KWA USIMAMIZI NA UADILIFU KATIKA MATUMIZI YA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO


Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma, ACP Ibrahimu Mahumi akitambulisha watendaji alioambatana nao kwenye kikao kazi cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa leo jijini Dodoma kilicholenga kupokea taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kwa mwaka wa fedha 2021/2022.