Habari
HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA, MHE. GEORGE SIMBACHAWENE KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA 2025/26 BUNGENI JIJINI DODOMA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Wakuu wa Taasisi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora kabla ya kuwasilisha Hotuba kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora kwa mwaka wa fedha 2025/26 leo Aprili 23, 2025 Bungeni jijini Dodoma.