Habari
HATUTAMVUMILIA MWAJIRI YEYOTE ATAKAYESHINDWA KUSIMAMIA HAKI NA STAHIKI ZA WATUMISHI WA UMMA-Mhe. Jenista

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Siha, Bi. Pendo Mangali akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya halmashauri kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama wakati wa kikao kazi cha Waziri huyo na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro.