Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

HATUTAMVUMILIA MWAJIRI YEYOTE ATAKAYESHINDWA KUSIMAMIA HAKI NA STAHIKI ZA WATUMISHI WA UMMA-Mhe. Jenista


Naibu Waziri wa Afya ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Siha, Mhe. Godwin Mollel, akitoa shukurani kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama kwa kutembelea jimbo lake na kuzungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili kwa lengo la kuzitatua.