Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

HATUTAMVUMILIA MWAJIRI YEYOTE ATAKAYESHINDWA KUSIMAMIA HAKI NA STAHIKI ZA WATUMISHI WA UMMA-Mhe. Jenista


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama, Naibu Waziri wake Mhe. Ridhiwani Kikwete pamoja na viongozi wengine wa Serikali wakiimba wimbo wa mshikamano daima kuhimiza utendaji kazi wa ushirikiano kwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha, mkoani Kilimanjaro wakati wa ziara yake ya kikazi ya kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi wa halmashauri hiyo.