Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

HATUTAMVUMILIA MWAJIRI YEYOTE ATAKAYESHINDWA KUSIMAMIA HAKI NA STAHIKI ZA WATUMISHI WA UMMA-Mhe. Jenista


Sehemu ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha, mkoani Kilimanjaro wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao wakati wa kikao kazi cha Waziri huyo na watumishi hao kwenye ukumbi wa halmashauri ya wilaya hiyo.