Habari
HATUTAMVUMILIA MWAJIRI YEYOTE ATAKAYESHINDWA KUSIMAMIA HAKI NA STAHIKI ZA WATUMISHI WA UMMA-Mhe. Jenista

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha wakati wa kikao kazi chake na watumishi hao katika halmashauri hiyo mkoani Kilimanjaro.