Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

HAPPY BIRTHDAY MHE. KIKWETE


Katika kumbukizi yake ya Siku ya Kuzaliwa leo Aprili 16, 2026 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete amewasihi watumishi Ofisi ya Rais – UTUMISHI kuchapa kazi kwa bidii, weledi, ushirikiano, Upendo na Amani.

Aidha Mhe. Kikwete ametoa wito kwa Maofisa wa Ofisi yake kuwajali watumishi wa umma na wananchi wote kwa ujumla wanapofika katika ofisi hiyo kwa ajili ya kupata huduma mbalimbali kwa kuwaonyesha “UTU“.