Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

FURSA ZA MAFUNZO KWA WATANZANIA NJE YA NCHI NI MATOKEO YA MAHUSIANO MAZURI YA KIDIPLOMASIA YANAYOJENGWA NA RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa umma walionufaika na mafunzo nchini Korea yanayofadhiliwa na Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Serikali ya Korea (KOICA) mara baada ya watumishi hao kumtembelea ofisini kwake jijini Dodoma. Wa tatu kutoka kushoto mstari wa mbele ni Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi