Dkt. Mwanjelwa amuonya Mweka Hazina wa wilaya ya Korogwe kwa utendaji usioridhisha

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe na Halmashauri ya Mji wa Korogwe, wakati wa kikao kazi na watumishi hao chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi hao kabla ya  kukagua utekelezaji wa miradi ya TASAF Halmashauri hizo.