Sehemu ya Wakurugenzi na Wakurugenzi wasaidizi Ofisi ya Rais – UTUMISHI wakifuatilia mada iliyokuwa ikitolewa na mwezeshaji Dkt. Chris Mauki (Hayupo kwenye Picha) wakati akitoa mafunzo kuhusu watumishi wa Umma kutumia muda vizuri na familia zao ili kuepusha msongo wa mawazo unaoathari utendaji wa kazi Leo Februari 23, 2026 Dodoma, Tanzania.