Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Dawati la Huduma kwa Mteja
Ndugu Mteja, Wasiliana na Watoa Huduma Wetu kila siku za kazi kuanzia Jumatatu – Ijumaa, saa 2:30 asubuhi hadi 10:00 jioni kwa Namba +255 26 216 0240 au +255 734 986 508. Karibu tukuhudumie!