Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WAZIRI SIMBAWENE; MFUMO WA KIELEKTRONI NI USHINDI KATIKA KUTENDA HAKI


Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGa), Mhandisi Benedict Ndomba akizungumza wakati wa  kuzinduliwa kwa mfumo wa kielektroniki wa Kukusanya, Kuchakata na Kutunza Kumbukumbu za Kesi Jinai (CMIS)utakaosaidia kutoa huduma kwa Wananchi kwa wakati