Habari
WAZIRI SIMBACHAWENE AWATAKA WATENDAJI SERIKALINI KUTOA FURSA KWA WATUMISHI WANAOWAONGOZA ILI WAONESHE UWEZO WAO KIUTENDAJI

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Ndege za Serikali, Cpt. William Budodi akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya taasisi yake kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene kabla ya Waziri huyo kuzungumza na watumishi wa Wakala hiyo jijini Dar es Salaam.