Habari
WAZIRI SIMBACHAWENE ATAKA UTUMISHI MMOJA USIO NA MATABAKA KWENYE MASLAHI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Watendaji Wakuu wa Wakala za Serikali nchini mara baada ya kuufungua mkutano huo uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam