Habari
WAZIRI JENISTA AONGOZA KIKAO KAZI CHA MKAKATI WA KUBORESHA MCHAKATO WA AJIRA SERIKALINI IKIWA NI UTEKELEZAJI WA MAELEKEZO YA RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

Naibu Katibu, Idara ya TEHAMA, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Mhandisi Samwel Tanguye (katikati) akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama wakati wa kikao kazi cha Waziri huyo na Menejimenti ya Sekretarieti hiyo ya Ajira wa kilichofanyika jijini Dodoma kwa lengo la kuhimiza uwajibikaji.