Habari
WAZIRI JENISTA AONGOZA KIKAO KAZI CHA MKAKATI WA KUBORESHA MCHAKATO WA AJIRA SERIKALINI IKIWA NI UTEKELEZAJI WA MAELEKEZO YA RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama (Meza kuu) akisisitiza jambo kwa Menejimenti ya Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wakati wa kikao kazi chake na menejimenti hiyo kilichofanyika jijini Dodoma kwa lengo la kuhimiza uwajibikaji.