Habari
WAZIRI JENISTA AONGOZA KIKAO KAZI CHA MKAKATI WA KUBORESHA MCHAKATO WA AJIRA SERIKALINI IKIWA NI UTEKELEZAJI WA MAELEKEZO YA RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Menejimenti ya Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma jijini Dodoma wakati wa kikao kazi chake na Menejimenti hiyo kilicholenga kuhimiza uwajibikaji.