Habari
WAZIRI JENISTA AMTEMBELEA RAIS MSTAAFU MHE. ALHAJ ALI HASSAN MWINYI IKIWA NI SEHEMU YA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YAKE

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akifurahia jambo na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Awamu ya Pili, Mhe. Alhaj Ali Hassan Mwinyi alipomtembelea nyumbani kwake jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake. Kulia kwake ni mke wa Rais huyo Mstaafu Mama Siti Mwinyi.