Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUWAJIBIKA KATIKA KUSIMAMIA MIRADI ILI FEDHA INAYOTOLEWA NA MHE. RAIS ITUMIKE KULETA MAENDELEO


Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deogratius Ndejembi (wapili kutoka kushoto) akisikiliza hoja iliyokuwa ikiwasilishwa na mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kuhimiza uwajibikaji na kutatua changamoto zinazowakabili watumishi wa umma wa Halmashauri hiyo. Wa kwanza kulia ni Katibu Tawala wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, Bw. Servi Ndumbaro.