Habari
SERIKALI YATOA RAI KWA WATUMISHI WA UMMA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI

Mwakilishi wa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bi. Felister Shuli akizungumza Jijini Dodoma na Maafisa Waandamizi wakati akifunga kikao kazi cha siku mbili kilichozikutanisha Taasisi Simamizi za Maadili na Vyama vya Kitaaluma kwa lengo la kusimamia dhana ya utawala bora katika utoaji huduma kwa wananchi.