Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

WATUMISHI WA TAKUKURU WILAYANI KILOLO WATAKIWA KUITUNZA OFISI MPYA NA MIUNDOMBINU YAKE ILI ITUMIKE KUPAMBANA NA RUSHWA


Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akitoa maelekezo kwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Bi. Neema Mwakalyelye, wakati akiwa katika ziara yake ya kikazi ya kukagua ujenzi wa Ofisi ya TAKUKURU Wilaya ya Kilolo. Kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Bw. Peres Magiri.