Tanzania emblem

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Habari

Watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakifuatilia mada iliyokuwa ikitolewa na mwezeshaji ikiwa ni sehemu ya Mafunzo ya kuwajengea watumishi hao uwezo wa kiutendaji ambayo hufanyika kila jumatatu ya wiki katika eneo maalum la Ofisi hiyo lililopo Mtumba jijini Dodoma.