Habari
WATUMISHI OFISI YA RAIS UTUMISHI WASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MEI MOSI) 2022 JIJINI DODOMA

Sehemu ya Watumishi wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiwa kwenye maandamano ya kuingia uwanja wa Jamhuri kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) iliyofanyika Kitaifa jijini Dodoma.